Back to News Kongamano lijalo la CHAKAMA la 2026 linawakutanisha Wataalamu wa Kiswahili Posted on Jul 23,2026 by kisii-university NEWS Kongamano lijalo la CHAKAMA linawakutanisha wataalamu wa Kiswahili, watendaji, walimu na wabobezi wa sekta mbalimbali. Jitayarishe kwa mjadala wenye tija, ubadilishanaji wa maarifa, mawazo bunifu na kujifunza kutoka kwa vinara wa taaluma, huku tukisherehekea ubora wa Kiswahili.